Kajiado: Msichana wa umri wa miaka 17 aokolewa kutokana na ndio ya mapema

  • | NTV Video
    339 views

    Msichana mwenye umri wa miaka 17 katika Kaunti ya Kajiado ameokolewa kutoka kwa minyororo ya ndoa ya kupangwa na baba yake. Chifu wa Ilbisil akisaidia na Polisi wa utawala walifanikiwa kufika kijijini na kumnasua msichana huyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya