Kamati ya kutathmini madeni ya hazina ya NHIF yabuniwa

  • | KBC Video
    364 views

    Waziri wa afya, Aden Duale amekariri azma yake ya kurejesha imani ya Wakenya na uwajibikaji katika sekta ya afya humu nchini. Duale amesema kuwa hospitali zinazodai iliyokuwa hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu-NHIF shilingi milioni-10 na zaidi zitalipwa pesa hizo baada ya shughuli ya kuhakiki madeni jinsi alivyoagiza rais William Ruto.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive