Skip to main content
Skip to main content

Kampeni za uchaguzi zakamilika Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    21,024 views
    Duration: 28:10
    Leo Jumatatu ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mkuu kwa upande wa Tanzania bara, huku zikisalia siku mbili tu kabla ya Watanzania kupiga kura katika uchaguzi mkuu kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo. Mwandishi wa BBC, Elizabeth Kazibure, ametembelea mitaa ya Dar es Salaam na kuzungumza na kupata baadhi ya maoni ya wananchi. #bbcswahili #tanzania #zanzibar #uchaguzi2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu #ccm #chadema #actwazalendo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw