Kazi Ni Kazi: Linet Nkatha abobea katika usanifu wa Taa za Magari

  • | KBC Video
    106 views

    Linet Nkatha, ni mwanamke wa umri wa makamo aliyehitimu kutoka chuo Kikuu baada ya kusomea Kozi ya habari, teknolojia na mawasiliano. Baada ya kukosa kupata kazi y kitaaluma, Nkatha aliamua kufanya kazi ya usanifu wa Taa za magari. yeye hutumia ujuzi aliopata kuunda taa za miundo ya kipekee ambazo zimempa umaarufu na kumsaidia kukidhi mahitaji yake. Safari yake ni ushahidi wa nguvu ya ustahimilivu na ubunifu katika kukabiliana na changamoto za ukosefu wa ajira. Fredrick Muoki anamwangazia mwanamke huu shupavu katika makala ya Kazi ni Kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive