KBC kushirikiana na Kampuni ya Canal+

  • | KBC Video
    12 views

    Mpenzi mtazamaji, hivi karibuni utaweza kutazama vipindi murwa hasa vipindi vya spoti katika runing unayoienzi ya KBC, ikiwa lengo la kampuni ya Canal+ ya kumiliki kampuni ya MultiChoice litatimia. Wawakilishi wa kampuni hizi mbili walifika katika jumba la shirika la utangazi, KBC kujua mbivu na mbichi kuhusiana na uanahisa wa kampuni ya MultiChoice Kenya. Mwenyekiti wa bodi ya shirika la KBC Tom Mshindi amesema mkataba huo utawavutia watazamaji wengi zaidi wa vipindi vya KBC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive