Kenya kuagiza mahindi ili kujaza pengo la upungufu kutoka kwa majirani

  • | Citizen TV
    212 views

    Kenya ni miongoni mwa nchi 7 za ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika ambazo zinatazamiwa kuagiza nafaka zenye thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 409 au shilingi bilioni 52 ili kujaza pengo la upungufu kutoka kwa majirani Tanzania, Uganda Ethiopia na Somalia.