Kero la Ujangili I Watu-4 wauawa Kerio Valley, Elgeyo Marakwet

  • | KBC Video
    304 views

    Watu wane waliuawa kwenye mashambulizi mawili tofauti ya majangili katika eneo la Bonde la Kerio, kaunti ya Elgeyo Marakwet. Miongoni mwa waliouawa ni wanafunzi wawili wa shule ya msingi ya Kimongo. Washambulizi hao pia waliiba idadi ambayo haijabainika ya mifugo. Msako wa majangili hao umeanzishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive