Kesi dhidi ya 'Body by Design' yaendelea katika mahakama ya Milimani

  • | Citizen TV
    467 views

    kesi dhidi ya kliniki ya body and design inayotuhumiwa kusababisha kifo cha mteja wake Lucy Ng'ang'a inaendelea katika mahakama ya milimani. Lucy alifariki Oktoba 26 mwaka jana baada ya kufanyiwa upasuaji katika kliniki hiyo. tusikilize yanayojiri