Kiini cha ugonjwa hatari Kisii hatimaye chabainishwa

  • | KBC Video
    608 views

    Wizara ya afya imehusisha chamko la ugonjwa hatari katika kaunti ya Kisii na maji machafu. Katibu mkuu wa idara ya afya ya umma Mary Muthoni aliyetembelea eneo hilo alifichua kuwa uchunguzi umethibitisha kuwepo kwa kinyesi cha binadamu kwenye kisima ambacho kimekuwa kikitumika kwa muda na jamii ya eneo hilo. Ugonjwa huo umewaaythiri zaidi ya watu 100 ambao wana dalili ambazo ni pamoja na homa kali, kuhara damu na kisunzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive