Kimbunga chasambaratisha jengo Nebraska

  • | BBC Swahili
    1,572 views
    Video hii iliyorekodiwa na kamera ya gari inaonyesha wakati kimbunga kikali kilivyoharibu jengo huko Lincoln, Nebraska, Aprili 26. Tazama #bbcswahili #nebraska #TornadoNebraska Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw