Kina mama eneo la Meshinani wageukia upanzi wa nyasi

  • | Citizen TV
    466 views

    Kila msimu wa kiangazi wafugaji katika kaunti ya Kajiado hulazimika kuhama kutoka sehemu moja hadi nyingine wakitafuta malisho