Kindiki amsuta Gachagua

  • | Citizen TV
    8,423 views

    Naibu Rais Kithure Kindiki amemkashifu aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kile alichokitaja kama kuwachochea wananchi dhidi ya serikali na kuendeleza siasa za mgawanyiko. Kindiki amemtaka gachagua kutoa suluhu la changamoto zinazowakabili wananchi badala ya kuchochea uhasama.