Kipi bora kati ya chai na kahawa?

  • | BBC Swahili
    561 views
    Tarehe 21 mwezi wa tano ni siku inayoadhimisha chai duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni wanawake na nafasi yao kwenye sekta ya chai. Pia ni siku inayosherehekea asili ya chai ya kiasili, manufaa yake kiafya na umuhimu wa uchumi unaotokana na chai. - Lakini chai sio kinywaji pekee, na wakati mwingi hulinganishwa na kahawa. Sasa wewe unapendelea ipi - chai au kahawa? Elizabeth Kazibure anatuelezea Zaidi. #bbcswahili #chai #kahawa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw