Kisumu All Stars yalazimisha sare ya 1-1 dhidi ya Police Bullets

  • | Citizen TV
    256 views

    Timu ya Kenya Police Bullets ilikosa nafasi ya kupanda hadi nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya FKF ya akina dada baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Kisumu All Starlets mjini Kisumu. Washindani wa taji kuu, Kibera Women Soccer na pia Vihiga Queens walipoteza pointi muhimu kwenye mechi za wikendi.