KNHRC yadai haki za kimsingi za kikatiba zilikiukwa katika maandamano

  • | Citizen TV
    885 views

    Muungano wa watetezi wa haki za kibinadamu umedai kuwa haki za kimsingi za kikiabtiba zilikiukwa katika maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024. Wakizungumza na wanahabari hii Leo, wanaharakati hao wametaka maafisa wa polisi kuwajibishwa kwa kutumia nguvu kupita kiasi katika maandamanao.