'Lava baridi' yasomba vijiji Indonesia

  • | BBC Swahili
    908 views
    Mvua kubwa iliyoleta mafuriko na kusababisha lava na matope kutiririka hadi katika makazi ya watu huko katika kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia imesababisha vifo vya takriban watu 44 na kuwaacha wengine kadhaa wakikosa. #bbcswahili #indonesia #shorts Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw