Lugha ya ishara : Serikali yahimizwa kuidhinisha mswada wa 2024

  • | KBC Video
    6 views

    Chama cha kitaifa cha watu walio na matatizo ya kusikia kimerejelea wito wake wa kushinikiza kupitishwa kwa haraka kwa mswada wa lugha ya ishara wa mwaka-2024 kuhakikisha ushirikishwaji wa watu walio na matatizo ya kusikia katika jamii. Akiongea kwenye mkutano mkuu wa kila mwaka, mwenyekiti wa chama hicho Nickson Kakiri alikariri haja ya kupitisha mswada huo kuwa sheria akisema utasaidia kutoa mwongozo kuhusu mawasiliano ya lugha ya ishara, elimu na haki sawa kwa watu walio na matatizo ya kusikia kote nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive