Maandalizi ya mbio za Sirikwa yaendelea Uasin Gishu kwa mashindano ya Eldoret

  • | NTV Video
    16 views

    Maandalizi ya makala ya mwaka huu ya mbio za nyika za Sirikwa yanaendelea katika kaunti ya Uasin Gishu. Mashindano hayo ambayo hufanyika katika eneo la Lobo jijini Eldoret yatafanyika tarehe 22 mwezi ujao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya