- 150 viewsDuration: 2:24Wataalamu wa mazingira wanashinikiza kupunguza na kutumia tena bidhaa za plastiki kama njia mwafaka ya kutokomeza uchafuzi wa taka za plastiki kwa mazingira. Wataalamu hao wamesema kwamba tani 20 za taka za plastiki hupelekwa na mikondo ya maji hadi baharini kila dakika. Kutokana na ukosefu wa kudhibiti taka hizi, wanaharakati wanaonya kwamba uchafuzi wa mazingira kwa plastiki hatimaye utaathiri vyanzo vya maji pamoja na kusababisha magonjwa hatari. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News