Madkatari na watumishi wa umma watishia kugoma

  • | KBC Video
    67 views

    Chama cha watumishi wa umma pamoja na kile cha madaktari na wataalamu wa meno vimetoa makataa ya wiki mbili ya maandamano kote nchini iwapo changamoto zinanazowakibili wagonjwa chini ya hazina ya bima ya afya ya jamii, SHA hazitashughulikiwa. Wanasema licha ya matozo ya halmashauri hiyo kukatwa kutoka kwa mishahara yao, hawawezi kupata huduma za matibabu chini ya bima hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive