Magatuzini I Wavuvi Migori waitaka serikali kuimarisha ufugaji wa samaki vidimbwini

  • | KBC Video
    57 views

    Wavuvi katika Kaunti ya Migori wameitaka serikali kuongeza juhudi katika kuimarisha ufugaji wa samaki vidimbwini ili kukabiliana na upungufu wa samaki katika Kaunti hiyo na kuongeza kiwango cha samaki kote nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive