Magunia 3,000 yawasilishwa katika maghala ya NCPB, Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    136 views

    Wakulima katika Kaunti ya Trans Nzoia wamepata afueni baada ya magunia 3000 ya mbole kuwasili katika maghala ya Bodi ya Nafaka na Mazao (NCPB). Hata hivyo wakulima hao wa wanaitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kuwakamata wakiritimba wanaodaiwa kusababisha uhaba bandia wa mbolea.