Mahakama ya Busia kudinda kusitisha ujenzi wa vibanda

  • | West TV
    55 views
    Mahakama kuu mjini busia imedinda kutoa amri ya kusitisha ujenzi wa vibanda vya kisasa mjini busia na eneo la kuegesha trela la mundika kwa kusekana ushahidi wa kutosha wa kutaka ujenzi huo kusitishwa. kulingana na jaji wa mahakama kuu mjini busia william musyoka ombi hilo la seneta wa kaunti hiyo okiya omutata halikuwasilishwa kwa wakati ufaao.