Mahakama ya Kwale yazindua taratibu za kushughulikia kesi kuhusu dhuluma

  • | Citizen TV
    243 views

    Kamati ya watumizi wa mahakama katika kaunti ya Kwale imezindua taratibu za Kushughulikia kesi kuhusu dhulma za kijinsia ambazo zimeripotiwa kuongezeka kaunti hiyo.