- 86 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA - CHANGAMOTO ZA MADAWA YA KULEVYA KWA VIJANA AFRIKA
- 20 Sep 2024 - You may have consumed substandard cooking oil that was flagged by the Kenya Bureau of Standards (KEBS) as unfit for human consumption.
- 20 Sep 2024 - Trevor Mathenge, a Multimedia University student nursing injuries from police brutality, says he survived death by a whisker in what he claims was a deliberate attempt to murder him.
- 20 Sep 2024 - The nationwide lecturers' strike entered its second day on Thursday, as university dons defied an order from the Employment and Labour Relations Court.
- 19 Sep 2024 - Residents of Loresho in Nairobi County now want the government to intervene against illegal land grabbing by unknown private developers.
- 19 Sep 2024 - Senate Majority Leader Aaron Cheruiyot has come out to dismiss allegations that he brokered the deal between the Kenya Airports Authority (KAA) and Indian conglomerate Adani Group for the leasing of the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
- 19 Sep 2024 - The Commission on Administration of Justice (Office of the Ombudsman) has recognized Geoffrey Mosiria, the Chief Officer for Environment in Nairobi City County, for his outstanding contributions to public health and hygiene. In a commendation letter,…
- 19 Sep 2024 - The Commission on Administration of Justice (Office of the Ombudsman) has recognized Geoffrey Mosiria, the Chief Officer for Environment in Nairobi City County, for his outstanding contributions to public health and hygiene. In a commendation letter,…
- 19 Sep 2024 - Newly appointed Inspector General (IG) of Police Douglas Kanja has maintained that the National Police Service (NPS) is not holding an activist and two siblings who were reportedly abducted by police officers in Kitengela, in the wake of the recent anti…
- 19 Sep 2024 - Informal sector percentages in 2022
- 19 Sep 2024 - County governments are finally set to receive much-needed funds after enduring months of severe financial challenges due to delayed disbursement of the revenue share.