‘Maisha ni magumu Msumbiji, Malawi kuna amani’

  • | BBC Swahili
    936 views
    Ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba nchini Msumbiji zimesababisha maelfu ya watu kuvuka mpaka na kuingia Malawi. Lakini kongezeka kwa watu kumeleta matatizo makubwa katika rasilimali za Malawi, na wengi wanatatizika kupata vitu vya msingi kama vile maji na makazi. Zaidi ya watu 278 wameuawa huku zaidi ya 13,000 wamekimbia ghasia za baada ya uchaguzi mkuu nchini Msumbiji #bbcswahili #msumbiji #uchaguzi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw