Viongozi kutoka kaunti ya Nyamira waunga mkono Timothy Bosire kwa kukataa uteuzi wa rais Ruto

  • | Citizen TV
    223 views

    Viongozi wa Nyamira wamkashifu Rais Ruto kwa uteuzi viongozi hao wanadai eneo lao limetengwa serikalini aidha wamewasifu wale waliokataa ajira za serikali