Manufaa ya mmea wa “Mathenge”

  • | KBC Video
    16 views

    Kundi la wanasayansi katika chuo kikuu cha Nairobi kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Isiolo wamegundua njia bunifu za kudhibiti mmea vamizi aina ya prosopis juliflora unaojulikana kama ‘Mathenge’ katika kaunti zilizoko katika maeneo kame. Maganda kutoka kwa mmea huo yanaweza kuchanganywa na nyasi zinazopatikana humu nchini kutengeneza chakula cha mifugo huku mashina yake yakitumika kutengeneza makaa ya kupikia. Jael Opicho anatuletea taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive