Maxwell marende juma ndiye mshindi wiki hii na kujishindia ksh 500,000, safari ya helikopta, na

  • | Citizen TV
    186 views

    Maxwell Marende Juma, fundi wa chuma mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kitengela, ameibuka mshindi wa Shabiki.com Aviator Players of Love, akijishindia shilingi 500,000, safari ya helikopta, na chamcha katika hoteli ya the Tribe, Nairobi.