- 1,988 viewsDuration: 3:09Mazungumzo kati ya wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma na serikali yamekosa muafaka, wahadhiri wakisisitiza kuwa hawarejei vyuoni hadi serikali itekeleze matakwa yao. Serikali imeonekana kulegeza kamba na kupendekeza kulipa shilingi bilioni 7.9 wanazodai wahadhiri kwa awamu mbili badala ya tatu. Miungano ya uasu na kusu itafanya mikutano usiku w aleo na ijumaa kujadili mapendekezo ya serikali