Mikutano ya amani yaandaliwa Isiolo na Samburu

  • | KBC Video
    8 views

    Baraza la maendeleo ya kaunti za mipakani linalojumuisha kaunti 10 katika eneo la kaskazini mwa Kenya linaandaa msururu wa mikutano ya kutafuta amani katika maeneo yanayokumbwa na mizozo ya mara kwa mara kwenye kaunti za Isiolo na Samburu kwa nia ya kuwashirikisha wanawake na vijana wa Moran ambao walidhaniwa kutengwa hapo awalli katika katika mipango ya maendeleo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News