Mkutano wa dharura wa kusitisha mgomo haukufanyika

  • | Citizen TV
    92 views

    Mgomo wa Wahadhiri utaendelea baada ya Mkutano wa dharura uliopasa kusitisha mgomo huo kukosa kufanyika. Mkutano huo ulitarajiwa kuwahusisha wakuu wa chama cha wahadhiri nchini UASU na kamati maalum inayojumuisha wizara ya Fedha, Elimu na Leba. Licha ya hayo, waziri wa Elimu Julius Migos ameshikilia kwamba wizara ya fedha imetenga fedha ya mishahara na marupurupu ya wahadhiri.