Msako wa wanamgambo waanzishwa Isiolo na Marsabit

  • | KBC Video
    92 views

    Huduma kitaifa ya polisi imeanzisha operesheni kabambe ya usalama katika kaunti za Isiolo na Marsabit inayolenga maficho ya wanamgambo wa kundi la Oromo Liberation Army. Hatua hii inafuatia ongezeko la visa vya ulanguzi wa silaha na mihadarati pamoja na utekaji nyara wa watu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive