Mshindi wa Shabiki Vuuka Njaanuary na Aviator

  • | Citizen TV
    99 views

    Gloria Sakwa kutoka Bungoma ameibuka mshindi wa tatu kwenye kampeni ya Vuuka Njaanuary na Aviator kwenye mchezo wa Shabiki.com. Gloria amejishindia shilingi 500,000 kwa kupata kiwango cha juu cha dau kwenye aviator ya shabiki. Jumla ya pesa zilizotolewa kwenye kampeni hii ni shilingi 1,650,000. Kampeni hii ambayo imemalizika leo, ililenga kuwazawadi mashabiki sugu wa Aviator ya Shabiki.com mwezi wa Januari.