Muhula wa kwanza kuanza tarehe 6 Januari hadi Aprili 4

  • | KBC Video
    48 views

    Wanafunzi katika taasisi za elimu ya msingi kote nchini wataanza muhula wao wa kwanza wa ratiba ya masomo ya mwaka 2025 siku ya Jumatatu tarehe 6 mwezi huu. Mwaka huu hakutakuwa na usajili wa wanafunzi wa kidato cha kwanza na badala yake kundi la kwanza la wanafunzi wa mtaala wa umilisi, CBC watajiunga na gredi ya tisa. Kulingana na waziri wa elimu Julius Ogamba, ujenzi wa madarasa elfu-16 kwa wanafunzi wa gredi 9 umekamilika kwa asilimia 93.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive