Murang'a: Zaidi ya watu 1,000 wahofia kusumbuliwa na magonjwa yanayotokana na uchafu

  • | NTV Video
    100 views

    Zaidi ya wakazi elfu moja wa eneo la Gaturi kaunti ya Murang'a wanahofia kusumbuliwa na magonjwa yanayotokana na uchafu, baada ya mtu asiyejulikana kuharibu mabomba ya maji na vifaa vingine na kuwaacha bila maji safi ya kunywa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya