Murkomen amemtetea Kahariri

  • | KBC Video
    48 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amemtetea mkuu wa vikosi vya ulinzi nchini Jenerali Charles Kahariri na mkurugenzi wa Huduma ya kitaifa ya Ujasusi nchini Noordin Haji kuhusiana na msimamo wao wa haja ya wananchi kuzingatia katiba katika kudai uwajibikaji kutoka kwa serikali. Murkomen alisema kuwa kuna vipengee vya kisheria ambavyo vinaelezea njia za kuwaondoa viongozi waliochaguliwa afisini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News