Muungano wa kudhibiti vileo wahamasisha umma Murang'a

  • | Citizen TV
    77 views

    Katika juhudi za kukabiliana na uuzaji wa pombe haramu, Muungano wa kudhibiti Vileo nchini Kenya, ABAK, umechukua hatua za kuhakikisha uzingatiaji wa sheria wakati wa msimu huu wa sherehe za Krismasi.