Muungano wa wanakandarasi katika kaunti ya Nyamira walalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao

  • | Citizen TV
    134 views

    Muungano wa wanakandarasi katika kaunti ya Nyamira umelalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao na serikali ya kaunti ya Nyamira, baadhi yao wakidai madeni ya zaidi ya miaka minne iliyopita .