Mwanamke mmoja ameripotiwa kuuwawa na mumewe kwa kukatwa na panga katika kaunti ya Narok.

  • | Citizen TV
    2,072 views

    Mwanamke mmoja ameripotiwa kuuwawa na mumewe kwa kukatwa na panga katika kaunti ya Narok. Inadaiwa kuwa mwanamke huyo alikuwa ametafuta hifadhi kwa dada yake baada ya kugombana na mumewe. Michael athinya na taarifa kwa kina.