Mwili wa Elvis Munene umepatikana makafani ya KNH

  • | Citizen TV
    9,889 views

    Mwili wa Elvis Munene, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCA, aliyetoweka mwezi januari umepatikana katika Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Kenyatta (KNH). Inasemekana kuwa Elvis alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya KNH Baada ya kupigwa vibaya katikati mwa jiji la Nairobi.