Nakhumicha na Tum, ambao wamependekezwa kuwa mabalozi, wahojiwa na kamati ya bunge.

  • | KBC Video
    41 views

    Aliyekuwa waziri wa afya Susan Nakhumicha pamoja na aliyekuwa katibu katika wizara hiyo mhandisi Peter Tum, walikabiliwa na wakati mgumu walipokuwa wakisailiwa na wabunge , wakitakiwa kuelezea kuhusu sakata za ufisadi kwenye wizara hiyo wakati walipokuwa mamlakani. Wawili hao walisailiwa kuhusu ufaafu wao wa kuhudumu katika afisi ya umma na kamati ya bunge kuhusu ulinzi na mashauri ya nchi za kigeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive