Polisi Kiambu wanamtafuta dereva aliyegonga watu, Ruaka

  • | Citizen TV
    6,040 views

    Maafisa wa polisi katika kituo cha Karuri Kaunti ya Kiambu wanamtafuta dereva wa gari lililowagonga watu wawili na kuwauwa katika barabara ya Ruaka-Ndenderu. Raia waliokuwa na ghadhabu kisha walilichoma gari hilo jipya.