Polisi wanasa ng'ombe wagonjwa wakisafirishwa Bomet

  • | Citizen TV
    1,379 views

    Maafisa wa polisi kutoka Bomet wamemkamata mwanamme mmoja aliyepatikana akisafirisha ngombe 6 wagonjwa na wengine waliokufa.