Mamia ya waandamanaji wamekamatwa wakati wa operesheni ya usiku katika Chuo Kikuu cha Columbia huko New York City.
Waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikuwa wametawala jengo la chuo hicho hapo awali.
Idara ya Polisi ya New York inasema jengo na hema lililokuwa chuoni hapo limesambaratishwa.
Wakati huo huo, waandamanaji wanaounga mkono Israel walikabiliana na waandamanaji katika kambi zinazounga mkono Palestina huko Los Angeles, saa chache baada ya polisi kutawanya maandamano ya huko New York.
Vyuo vikuu vya Marekani vimekuwa na maandamano huku wanafunzi wakidai kususia makampuni na watu binafsi wenye uhusiano na Israel wakati wa vita huko Gaza.
#bbbcswahili #marekani #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
17 May 2024
- Approximately 200 Kenyan police officers will be deployed to Haiti next week as part of the UN Security Council-backed security mission to Port-au-Prince.
17 May 2024
- Taiwanese lawmakers shoved, tackled and hit each other in parliament on Friday in a bitter dispute about reforms to the chamber, just days before President-elect Lai Ching-te takes office without a legislative majority.
17 May 2024
- Parliament has raised the red flag over alleged massive graft in the issuance of capitation funds to Junior Secondary Schools (JSS) across the country.
17 May 2024
- National Assembly Finance Committee Chairman and Molo MP Kuria Kimani has shed light on the rationale behind the Treasury's proposal to introduce a 16% Value Added Tax (VAT) on bread.
17 May 2024
- The National Assembly’s Budget and Appropriation Committee, led by Ndindi Nyoro, Member of Parliament for Kiharu Constituency, recently conducted public engagement sessions in Mandera County to discuss the revenue and expenditure estimates for the…
17 May 2024
- Over 2,000 students from Ngeya Primary School, one of the institutions hardest hit by the Mai Mahiu tragedy, have yet to return to school. Five days after schools reopened following a two-week delay, many students remain absent, with parents and…