Rabsha zazuka katika kanisa la PCEA Kasarani alimokuwa Gachagua baada ya vijana kuzua ghasia

  • | Citizen TV
    9,464 views

    Rabsha zilizuka katika kanisa la PCEA Kasarani hii leo baada ya vijana kuzua ghasia wakitaka kuingia kanisani alimokuwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua. Risasi zilifyatuliwa na maafisa wanaomlinda Gachagua kuwatawanya vijana hao huku piki piki moja ikichomwa nje ya kanisa hilo. Melita Oletenges anaarifu zaidi kuhusu kizaazaa hiki cha mapema leo