Raila yuko ndani ya serikali ama Odinga ni Rais mwenza wa Rais Ruto? FULL INTERVIEW| Ukumbi Wa Siasa

  • | TV 47
    229 views

    Raila yuko ndani ya serikali ama Odinga ni Rais mwenza wa Rais Ruto? FULL INTERVIEW| Ukumbi Wa Siasa

    Mambo ndio haya, Kinara wa ODM Raila Odinga keshanena kuwa atatangaza msimamo wake hivi karibuni. Vile vile, mambo yalivyo sasa Raila yuko ndani ya serikali ama Odinga yuko nje ya serikali?

    Kiongozi wa Wachache Seneti Stewart Madzayo anajiunga nasi katika Ukumbi Wa Siasa kutufafanulia hali ya mshike mshike inayohusu Kinara wa ODM Raila Odinga.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __