Rais Ruto aahidi maskwota wanaoishi kwenye shamba la ADC Kilifi watapata ardhi

  • | KBC Video
    2,505 views

    Rais William Ruto amewaahidi maskwota wanoishi katika ardhi ya shirika la maendeleo ya kilimo ADC kwenye eneo la Magarini Kaunti ya Kilifi, kwamba watapata hati za kumiliki ardhi hiyo wanamoishi. Akizungumza wakati wa mazishi ya Kingi Mwarua Mkweha ambaye ni babake Spika wa bunge la Seneti Amason Kingi, Rais Ruto alisema serikali inanuia kutatua kikamilifu mizozo kuhusu ardhi katika eneo la Pwani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive