Rais Ruto Ajiandaa Kwa Ziara Ya Maendeleo Mlima Kenya

  • | TV 47
    2,875 views

    Rais Ruto Ajiandaa Kwa Ziara Ya Maendeleo Mlima Kenya

    Ziara ya maendeleo ya Rais William Ruto katika eneo la Mlima Kenya mwezi ujao imezua hisia mseto miongoni mwa wakaazi wa eneo hilo, wapangaji wa ziara hiyo na kambi ya Aliyekuwa Naibu Wa Rais Rigathi Gachagua huku kiongozi wa taifa akilenga kurejea eneo hilo baada ya kumbandua aliyekuwa naibu wake miezi mitano iliyopita.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __