Rais Ruto asafiri nchini DR Congo kujaribu kuleta maridhiano

  • | Citizen TV
    2,847 views

    Rais William Ruto amesafiri hadi jamuhuri ya Congo katika ziara ya kujaribu kuleta maridhiano na kukomesha ghasia eneo la Goma. Rais Ruto ambaye ni kiongozi wa muungano wa Afrika mashariki, amekua mstari wa mbele kutafuta suluhu kati ya makundi yanayozozana.